mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yaani nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama namuona kesho, atakavyokuja kutuwekea majoka [emoji2088][emoji2088]
Hata weweUbingwa wenyewe wa mauzauza tupu ligi imekatwa katwa vipande. Basi wenyewe makelele tupu kumbe wanachapika tu kirahisi. Shwaini zao na makelele yao. Karibia wiki hatujalala eti wanasherehekea ubingwa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1495891
Na kwako piaSiku njema wote
DahMabingwa utopolo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipigo kinyooofu kitakatifuuuu [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
View attachment 1495897
Mimi mwenyewe bado niko hangoverHahahahha tatizo juzi walilewa sana wakisherehekea ubingwa,pombe bado hazijawatoka vizuri
Kabisa mkuuKipigo cha ajabu
HatariKipigo nimekipokea kwa maumivu
Mzee wa data[emoji16]Wa majoka ni mzee wa liver. Naona alirithishwa mikoba na malkia wake the one and only one ISIS mane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei Masaki peninsula izi mai homu japo sasa nimehamia Dubai...
Moud yeye ni madini na utalii na kujifanya mkulima wa kila aina ya mazao [emoji51][emoji51][emoji15]
View attachment 1495914
HahahahahaMashabiki wa Liverpool tunalala hivi..[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1495916
[emoji120][emoji120]Morning guys
YapMakofi kwa Liverpool View attachment 1495924