myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeUchumi wa Kati
[emoji23][emoji23][emoji23]
SafiiiAmethyst inayochimbwa machimboni hapoView attachment 1496353
You dump your man for cheating only to be with a man that was dumped for cheating. [emoji57]
Uko na akili kweli??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Salama sana! Habari yako Bro?Networking...with the right people. Muhimu sana hii maishani....
Za siku nyingi bro?
Habari njema sana. Tumshukuru Mungu bro. Maandalizi mema ya Sabato Takatifu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Salama sana! Habari yako Bro?
Ndoa yako itadumu sana bageshi...Sijawahi kuwaza hilo kbs ktk maisha yangu, mm na mme wangu tutashindwana kwa mengine ila sio hilo.
Na kwanza huwa sina ht time ya kumfatilia, ninachojali ni upendo wake kwangu na kwa familia. Hayo mengine yanabaki kuwa yake sasa na akili zake
Kuna mengi sana yanahitaji kurekebishwa. Maendeleo ya vitu ni muhimu ila watu hawawezi kula flyovers na ndege.Kama ni utajiri wa mtu mmoja mmoja siyo kweli.
Watu hawajapandishwa mishahara kwa miaka zaidi ya 4, mzunguko wa pesa mtaani ni mdogo, biashara zinaanguka, serikali inajali pesa zinazoingia kwenye mfuko wake, haiangalii maisha ya watu wake, serikali imejenga hospitali nyingi lakini inaendesha huduma za afya kibiashara.
Sijajua wanaongelea utajiri wa aina gani
Sentensi ya mwisho isomeke....Gwajima kujiunga na Ccm ni namna ya kunusuru miladi yake na pesa zake
Ccm na vyombo vya serikali hawaoni shida kukuvunjia hata kanisa
Gwajima yupo sahihi kujiunga Ccm maana dhambi huitwa Baraka,
Gwajima baba hongera najua saizi hata ukichukua kimada na kwenda nae blue pearl hotel hakutakuwq na camera za bashite,
Narudia tens kusema ukiwa na pesa ukajiunga na Ccm hakuna Wa kukugusa hata kama ulipi kodi.
Kila alieko Ccm ana maslahi binafsi