mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Sijui JPM anaogopa kivuli chake kama anakubalika ndani na nje ya chama shida ilikuwa wapi kumwacha Membe agombeeKatiba ndiyo kila kitu, kama Katiba inaruhusu sioni tatizo hapo
CcMwaka wa makombe, kila kona Kombe tu daaa, hadi raha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana kweli apate mimba kabla ungo haujavuniika?Huyu wa miaka tisa kabakwa huo ungo sidhan kama alivunja
Labda maana kuna mtoto wa miaka mitano alipewa mimba na watu wasiojulikana sasa mitano alivunja ungo kweli?Inawezekana kweli apate mimba kabla ungo haujavuniika?
Mwanamke anapata mimba kuanzia miaka mingapiInawezekana kweli apate mimba kabla ungo haujavuniika?
Kuna baadhi ya wazazi hawajui ukweli wa umri wa watoto wao.Labda maana kuna mtoto wa miaka mitano alipewa mimba na watu wasiojulikana sasa mitano alivunja ungo kweli?
Kuna baadhi ya wazazi hawajui ukweli wa umri wa watoto wao.
Miaka mitano kuvunja ungo sijawahi sikia
Navyojua akisha mature mimba inaingia.Mwanamke anapata mimba kuanzia miaka mingapi
Basi tuseme kuna mkono wa Mungu.Google huyu mtoto yupo kwenye historia ni wa kizungu,hawadanganyi umri wale
PamojaNavyojua akisha mature mimba inaingia.
Na kukomaa kwa mwanamke ni kupatikana kwa siku zake
Mfalme tumepotezana katika mazingira tatanishi, mpaka leo haonekan nyumbaniiMarahabaa.
Yuko wapi mfalme wetu?
Amepotea sana huyu kijana