Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo maana huwa sichangii habari za aina hiyo.
Maana mara nyingi wanaongea habari za upande mmoja.
Kila wanachosema wanalazimisha waaminike mbele ya jamii, lakini ukiingia deep utashangaa uchafu utakaokutana nao..

Apambane na hali yake, siwezi kumuhurumia mwanamke anayeleta habari za upande mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…