myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wakulima wooote hongereni...
Binadamu ameiharibu hii sayari sana...
Swali zuri sana [emoji16][emoji16][emoji16]Una mke?
Namba 4 haiwezi kuwa jibu kwa sababu mrija unaopeleka maji kutoka # 3 umezibwa hivyo ndoo namba 4 haitapata hata tone moja. Labda ungesema namba 5 japo nayo iko chini ikilinganishwa na namba 7. Na mrija unaopeleka maji namba 6 nao umezibwa. Bado nashikilia jibu sahihi ni namba 7...Angalia kwa makini chanzo cha maji cha namba 4, halafu angalia chanzo cha na 7
No commentsMkuu nimepata faraja kusikia upande wa pili wa sarafu.
Hii haijalishi nani mkweli.
Ila kiukweli kujitosa kumuoa supastaa aina ya shilole ni gambling.
Lakini kukubali kuishi na mwanamke wa aina hiyo huku asilimia 75 ya huduma za familia anatoa yeye ni hatari zaidi.
Kuhusu kipigo nadhani sheria inakataza, lakini msisahau kwamba sisi ni waafrika.
Waafrika tuna mila na desturi zetu ambazo hazifanani na jamii nyingine, labda tuna mila za ovyo, lakini ndizo tulizofundishwa
Siku mchezo hayo maeneo...Swali zuri sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilikwenda Mbulu kwa wiki sita kidogo nife. Niliondoka nikiwa nimekonda na maumivu ya mgongo juu
Hii ishu imegeuzwa kuwa ya kutafutia kiki sasa [emoji16][emoji16][emoji16]Malisa GJ
Nimemsikiliza Uchebe akihojiwa na kituo kimoja cha radio anasema picha zilizopostiwa mtandaoni ni za mwaka jana na kwamba mwaka huu hajampiga Shilole kabisa. Anasema madai ya Shilole kupigwa siku ya sabasaba si ya kweli, kwa sababu hiyo siku Shilole hakulala nyumbani.
Ili kuthibitisha hilo amesema atafutwe akaguliwe kama ana jeraha lolote la hivi karibuni. Anadai Shilole ni mzima kabisa wa afya na hana jeraha. Uchebe anaeleza kuwa Shilole amekuwa na desturi ya kutokulala nyumbani hata siku mbili na akirudi hataki kuulizwa alikua wapi? Na hio ndio "source" ya ugomvi wao wa mara kwa mara.
#MyTake:
Kama asemayo Uchebe ni ya kweli, je yanahalalisha kosa la kumpiga mkewe kinyama kiasi kile? Je mke kutokulala nyumbani bila taarifa adhabu yake ni kipigo? Je kisheria jinai ina "expire" kama imefanyika muda mrefu uliopita? Kama ni kweli kipigo ni cha mwaka jana kwanini Shilole amepost leo? Na je alipopigwa alitoa taarifa polisi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]No comments