Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Namba 3 imezibwa kote kote. Angalia vizuri. Maji hayatoki [emoji16][emoji16][emoji16]Una hakika kuwa namba 3 haitoroshi maji kwenda namba 5?
Tuangalie tenaView attachment 1502142
Namba 3 imezibwa kote kote. Angalia vizuri. Maji hayatoki [emoji16][emoji16][emoji16]Una hakika kuwa namba 3 haitoroshi maji kwenda namba 5?
Tuangalie tenaView attachment 1502142
Namba 3 inatorosha maji, ila ni lazima kwanza hayo maji yafikie level ambayo ni 75% ya tanki lake. Na hiyo inatoa nafasi kubwa kwa namba 5 kujaza tanki laki kabla namba 3.Namba 3 imezibwa kote kote. Angalia vizuri. Maji hayatoki [emoji16][emoji16][emoji16]
Wanawake mliopo kwenye uzi huu karibuni kwenye mjadala huu, kuhusiana na mila inayolalamikiwa ya kucharazana bakora baina ya wanandoa.Tulifundishwa kupiga wanawake?? Usifanye hivo Bro!
Hivi bucket ni ndoo?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Swali zuri sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilikwenda Mbulu kwa wiki sita kidogo nife. Niliondoka nikiwa nimekonda na maumivu ya mgongo juu
Wee mzee hizo ndoo (bucket) maana yake zipo wazi juu, labda kama tutaamua kujibu kama tupo la IIC [emoji1][emoji1][emoji1]Uko sahihi. Jibu ni #5. Sijui kwa nini niliona yale mengine halafu nikashindwa kuona hili. Kweli hii ni kwa majiniazi pekee [emoji16][emoji16]
.mke hupigwa kwa upande wa kanga....kwani mkeo ni pambo la nyumba[emoji441][emoji445]
Na kwa wewe kaka yangu sisemi mengi mie...ila nakukumbusha kuwa adabu dhahabu[emoji441][emoji445]
Tatizo vijana wa sasa miziki waipendayo ni hiyo... Kanyaga, kwangwaru, minyama tu....Katika majibu niliyotuma mimemuusia mkeooo[emoji441][emoji445][emoji445]
Huyo dada hongera zake sana maana ana chance kubwa ya kupata ujuzi bure wa codeKuna mdada humu ana nafasi kubwa kwenye moyo wangu😗😙
Hiyo mila imepitwa na wakatiWanawake mliopo kwenye uzi huu karibuni kwenye mjadala huu, kuhusiana na mila inayolalamikiwa ya kucharazana bakora baina ya wanandoa.
[emoji1787]Heshima ya ukoo lazima ilindwe ifu ai dai ai dai [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1502093