Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Angalia kwa makini chanzo cha maji cha namba 4, halafu angalia chanzo cha na 7
Namba 4 haiwezi kuwa jibu kwa sababu mrija unaopeleka maji kutoka # 3 umezibwa hivyo ndoo namba 4 haitapata hata tone moja. Labda ungesema namba 5 japo nayo iko chini ikilinganishwa na namba 7. Na mrija unaopeleka maji namba 6 nao umezibwa. Bado nashikilia jibu sahihi ni namba 7...
 
No comments
 
Hii ishu imegeuzwa kuwa ya kutafutia kiki sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…