Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sawa, namba 4 na 6 sikuziangalia vema.
Ila namba 5 ina nafasi nzuri zaidi kuanza kujaa maana kule yanapotokea namba 1 yameunganishwa chini kabisa.
Kwa maana hata kabla tanki namba 1 halijajaa tayari namba 5 imeshajaza tofauti na namba 7 inapata maji kwa juu
 
Uko sahihi. Jibu ni #5. Sijui kwa nini niliona yale mengine halafu nikashindwa kuona hili. Kweli hii ni kwa majiniazi pekee [emoji16][emoji16]
 
Uko sahihi. Jibu ni #5. Sijui kwa nini niliona yale mengine halafu nikashindwa kuona hili. Kweli hii ni kwa majiniazi pekee [emoji16][emoji16]
Zoë we ni jiniazi. Kweli ndoo namba 3 ndiyo itajaa kwanza kwa sababu haivujishi maji po pote. Dah!!!
 
Tulifundishwa kupiga wanawake?? Usifanye hivo Bro!
 
Tulifundishwa kupiga wanawake?? Usifanye hivo Bro!
Mimi sipigi mke wangu.
Wala sitopiga.
Ila kuhusu jambo hili muulize mzee wa uzi huu mwenye umri wa miaka 75, ambaye ni mh SYB nadhani anayo majibu
Hayo ndiyo mafunzo halisi ya kiafrika.
Mengine yote tunaiga, ingawa siyo kosa kuiga mambo mazuri, ila bado kuna chembe chembe za kiafrika mioyoni mwetu.
Na bahati mbaya wenzetu wanawake vichwa vyao vina mambo mengi
 
Siwezi kuthibitisha juu ya mafunzo hayo (Sijawahi kuskia) ingawa hata hao wazungu wanapiga wake zao/wapenzi! Si swala la fundisho ila utashi.
Kama wewe usivyo piga mwanamke wengine hupiga, Kupiga ama kutopiga ni tabia/utashi binafsi. Hata hao watu wa kanda maalum wapo wasio piga kabisa wanawake pamoja na kwamba jamii yao imeathirika kwa jambo hii pakubwa!
 
KOSA LA JINAI HALINA MUDA / UCHEBE AENDE JELA TU/ ALBERT MSANDO

Mwanasheria maarufu Nchini Tanzania "Albert Msando" nae ametoa yake kuhusu kipigo alichokipata msanii wa Bongofleva Shilole

''Police Tanzania nimemsikia anayeitwa Uchebe amenukuliwa kwamba hizi picha ni za zamani. Hivyo kimsingi amekubali kwamba alimpiga Shilole ila zamani.

MIMI NIMESIKILIZA NA KUSOMA ALICHOSEMA KAMA MNAHITAJI SHAHIDI.

Kosa la jinai halina muda. Hata kama lilifanyika miaka ya 1980! Kama lilikuwa ni kosa kisheria basi aliyetenda lazima adhabu inamuhusu. Nitashangaa kama ‘upelelezi bado unaendelea’ mpaka ikifika mwezi wa nane. Ni vyema muda akitoka jela akute kiberiti kinauzwa elfu 15 na box spanner inauzwa kama laki 6 hivi. Tuone gereji atakuwa na spanner ngapi na ghetto atawasha jiko la mchina na nini.

Chanzo wasafi tv
 
Mila za kiafrika zimesisitiza jambo hilo.
Unajua tatizo tulilonalo sisi wa Afrika kumbukumbu zetu za msingi hazikuhifadhiwa kwa njia ya maandishi.
Zamani kulikuwa na kitu kinaitwa jando, jando ni ile hali ya mvulana kwenda kutahiriwa porini.
Achana na hizi zinazofanyika hospitali.
Jandoni hasa ndiko mafunzo yote ya ku - handle ndoa yanapofanyika, jandoni ndiyo mahali kijana wa kiafrika anapopewa miongozo nk.
Msubiri mzee SYB aongeze neno kuhusu mila hii ya kiafrika inayoruhusu wanawake kucharazwa bakora[emoji23] wanapoenda kinyume cha maagizo ya mume[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wacha nimsubiri!
 
Wacha nimsubiri!
Nyie vipi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Naingia barabarani. Nitatoa dukuduku langu baadaye. Ila nadhani mngepata mawazo mazuri zaidi kutoka kwa mhenga mwenzangu andjul pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…