Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi bucket ni ndoo?
Kama ndio basi namba 3 itajaa na maji yatakuwa yanamwagikia kwenye ndoo namba 3 kwenda chini maana ipo wazi.
Maji hayawezi kujaa ndoo nyingine kwasababu pipe inayo peleka maji namba 3 (phys/maths--cylinder) inaelea hewani, ni sawa tu na tunavyo kinga maji majumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…