Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu haujagundua mpaka sasa kuwa Esta ndiye binti mpole kuliko wote humu "kijiweni"?
Angekuwa mtoto wangu nisingemuozesha kabisa, hastahili kushiloliwa hata kwa nusu sekunde
Kuna dada furani wakati tunaishi mitaa yetu pendwa, alikuwa mpole sana, hapendi ugomvi.
Lakini akipata hisia za wivu mtiti wake huuwezi.
Yaani anaweza kukuchapa kibao, ngumi au akakupiga na .mwiko au hata sufuria la ubwabwa.
Wapole nawaogopa sana
 
Watu wapole ukali wao huwa kwenye maeneo flani flani hivi.
 
Namba 3 inatorosha maji, ila ni lazima kwanza hayo maji yafikie level ambayo ni 75% ya tanki lake. Na hiyo inatoa nafasi kubwa kwa namba 5 kujaza tanki laki kabla namba 3.
Tuangalie tena View attachment 1502198
Angalia chini kabisa mwisho wa mrija. Linganisha na mirija mingine. Imezibwa. Haitoroshi maji....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…