Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1593705646908.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara nyingi kujitetea kwao ni machozi, akijitahidi saana basi, atakuvaa mwilini.
Wangu sipatagi shida naye yakimpanda ya Ng'wanamalundi,najibebea tu hadi sehemu iliyo changamka yaani hamsikilizani mpaka uongee kwa kupayuka.
Mida mida namrudisha kwa ajili ya kilimo...
Kesi finish....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara nyingi kujitetea kwao ni machozi, akijitahidi saana basi, atakuvaa mwilini.
Wangu sipatagi shida naye yakimpanda ya Ng'wanamalundi,najibebea tu hadi sehemu iliyo changamka yaani hamsikilizani mpaka uongee kwa kupayuka.
Mida mida namrudisha kwa ajili ya kilimo...
Kesi finish....

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sema tu dadangu mpole. Mtiti wa Kizaramo hata upeleke kwenye makelele namna gani hakuna kitu. Tena ndiyo anaweza kwenda akachomoa hata masipika yanayotoa sauti ili akupe mipasho sawasawa.

Kuna jamaa Mbena alikuwa na kibinti cha Kizaramo pale Njinjo alikuwa anakimbilia Bulyaga moto ukimuwakia aaaa wapi. Kinamfuata huko huko kinawazimia na muziki mpaka menejimenti ikampiga marufuku asiwe anakimbilia huko akiwa amekorofisha...Halafu jamaa alikuwa mjeshi sasa [emoji16][emoji16][emoji16]

Una bahati dada tulimlea vyema na ana heshima sana vinginevyo hata kilimo usingekikumbuka wakati moto umekuwakia [emoji23]
 
Back
Top Bottom