andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hata mimi najishangaa sana!!Sawa tu, ila na ww watakuwa washajua ukatili wako[emoji38][emoji38].
Hv inawezekanaje mtu uliehangaika nae kutunza miparachichi, baada ya mavuno umuone hafai????
Umegundua kwanini nakupigia simu mara kwa mara?
Pengo lako halizibiki, rudi nyumbani mwandani wangu. Tulipoishia tutaanzia hapo hapo kula raha... Sawa mama?