Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mm ni mpole siku zote, na kawaida huwa sipendi kero kbs. Huwa nina namna yangu ya kushusha hasira.
Shida ni pale unakuta hasira iko juu.
So far nilipasua mara moja tu, badae akanisoma nikoje ht naona hapati shida tena.
Upole ule umepotelea wapi? Hizi hasira zimekuanza lini? Hako katoto nako kanafoka au kanajigaragaza kakiwa na hasira? Hamkatii kibano au mnakadekesha tu?
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] ukitaka yaishe, nenda kanichumbie upya.
Hayo mambo ya mwanga sijui na nn kwa sasa hayana nafasi.
Jamani mai wangu usijibu kwa kisirani, achana na maneno ya shemeji, wewe ndio mimi na mimi ndio wewe, tu mwili mmoja.
Ufungue moyo wako, pokea msamaha, kumbatia ombi langu na likutie joto tena lile la zamani, achana na hili joto la mwanga wa tochi, mchana kwinyuuu...
 
Nyoa nywele kijana au umeanza kuvuta bange..[emoji28] alisikika mzee mmoja.
IMG_20200618_103738_572.jpg
 
Kesho yake anarudi kwenye kitochi, kiufupi mm nikiwq na hasira kaa mbali tu na mm. Sipendi kuongeleshwa ongeleshwa huku nimejaa hasira[emoji28][emoji28][emoji28].
Hlf hii naiona ht kwa haka katoto kangu kadogo. Kakichukia ukijidai unakaongelesha ni balaa.
Hahahahaha, wewe nawe unaweza kumchapa mtu kibao[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom