Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwenziyo Jiwe (lishiganga)

Wewe kitawi cha Mkomamanga...

Mzee wa Msoga ndiye alikuwa na vimisemo vya kuvutia mtoto wa mjini yule [emoji16][emoji16][emoji16]
JamiiForums-2101528136.jpg
 
Ilibidi nibaki tu peke yangu kwanza, Bob alipotea jumla. Moud nae hatukufikia mwafaka[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulikuwa unachagua chagua sana, maana karibu wote tulikuchagua wewe, tulianza kukugombea mpaka mzee wa Mwakaleli alichukia[emoji23][emoji23] Nadhani tulikuwa watu wanne pamoja na ho chi minh[emoji23][emoji23]
 
Kesho yake anarudi kwenye kitochi, kiufupi mm nikiwq na hasira kaa mbali tu na mm. Sipendi kuongeleshwa ongeleshwa huku nimejaa hasira[emoji28][emoji28][emoji28].
Hlf hii naiona ht kwa haka katoto kangu kadogo. Kakichukia ukijidai unakaongelesha ni balaa.
Sasa ukivunja hiyo iPhone kesho yake unakwenda kumnunulia mpya au inakuwaje? Bageshi hizi hasira ulizitoa wapi? Mbona ulipokuwa bado nyumbani hukuwa hivi?
 
Kesho yake anarudi kwenye kitochi, kiufupi mm nikiwq na hasira kaa mbali tu na mm. Sipendi kuongeleshwa ongeleshwa huku nimejaa hasira[emoji28][emoji28][emoji28].
Hlf hii naiona ht kwa haka katoto kangu kadogo. Kakichukia ukijidai unakaongelesha ni balaa.
Upole ule umepotelea wapi? Hizi hasira zimekuanza lini? Hako katoto nako kanafoka au kanajigaragaza kakiwa na hasira? Hamkatii kibano au mnakadekesha tu?
 
Basi huyo mzee wa tukuyu itakuwa aliniendea sumbawanga ndio maana akili ilivurugika.[emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulikuwa unachagua chagua sana, maana karibu wote tulikuchagua wewe, tulianza kukugombea mpaka mzee wa Mwakaleli alichukia[emoji23][emoji23] Nadhani tulikuwa watu wanne pamoja na ho chi minh[emoji23][emoji23]
 
Kule sirudi ht kwa greda.
Labda uje unipose upya na mahari mpya na makubaliano mapya.
Jamani mai wangu usijibu kwa kisirani, achana na maneno ya shemeji, wewe ndio mimi na mimi ndio wewe, tu mwili mmoja.
Ufungue moyo wako, pokea msamaha, kumbatia ombi langu na likutie joto tena lile la zamani, achana na hili joto la mwanga wa tochi, mchana kwinyuuu...
 
Ndiyo hivyo,
Huku kwetu mdada akifanywa na wanaume watano tu jiji lote linatikisika, mpaka hospitali atalazwa, madrip ya kumwaga.
Lakini mzungu wa watu yuko poa kabisa[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Wale wanakuwa kazini. Na show inakuwa scripted - wanaume wameandaliwa na kila mmoja anajua la kufanya. Na si ajabu walichaguliwa ambao hawana mafenesi. Naye sterling alikula madawa ya kuondoa maumivu. Na bila shaka atakuwa alijiandaa vizuri kwa kulainisha njia kwa madawa na njia mbalimbali ikiwemo kujisokomeza majitu makubwa makubwa kuelekea her big day. Na kunakuwa na wasimamizi wakiwemo madaktari. Wanaume 900 hivi hivi wangemuua ...
 
Back
Top Bottom