Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400017200507_258703.jpg
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sema tu dadangu mpole. Mtiti wa Kizaramo hata upeleke kwenye makelele namna gani hakuna kitu. Tena ndiyo anaweza kwenda akachomoa hata masipika yanayotoa sauti ili akupe mipasho sawasawa.

Kuna jamaa Mbena alikuwa na kibinti cha Kizaramo pale Njinjo alikuwa anakimbilia Bulyaga moto ukimuwakia aaaa wapi. Kinamfuata huko huko kinawazimia na muziki mpaka menejimenti ikampiga marufuku asiwe anakimbilia huko akiwa amekorofisha...Halafu jamaa alikuwa mjeshi sasa [emoji16][emoji16][emoji16]

Una bahati dada tulimlea vyema na ana heshima sana vinginevyo hata kilimo usingekikumbuka wakati moto umekuwakia [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kwa haya makabila ya pwani shughuli ipo.Hajali mazingira muhimu asikilizwe yeye tu.
Mungu mkubwa aliweza kunitenganisha na mama Muba, alikuwa ananikabia kwenye kigugumizi changu mweee [emoji1][emoji1][emoji1]
Sokota shwaini zako na mama Muba wako, ningekufa mimi.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], kuna mmoja tunafanya nae kazi
Kuna muda anaongea mpk unahisi sikio linauma aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kwa haya makabila ya pwani shughuli ipo.Hajali mazingira muhimu asikilizwe yeye tu.
Mungu mkubwa aliweza kunitenganisha na mama Muba, alikuwa ananikabia kwenye kigugumizi changu mweee [emoji1][emoji1][emoji1]
Sokota shwaini zako na mama Muba wako, ningekufa mimi.
 
Sawa tu, ila na ww watakuwa washajua ukatili wako[emoji38][emoji38].
Hv inawezekanaje mtu uliehangaika nae kutunza miparachichi, baada ya mavuno umuone hafai????
Hivi ulikimbilia kwa Baba Viv (Bob) au pwani kwa Moud? Mi wala sikuelewa ishu ile ilivyomalizika baada ya kumpiga chini Mnyakyusa wako [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom