Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Ohoo
Alaa kumbe wacha tuone.Kama huwezi kuendesha mipasho na siasa zimekushinda.
Siasa na mipasha ni ndugu tumbo moja
Duuuuu, asee kweli huyu jamaa aliyeweka hili fumbo anatishaAngalia chini kabisa mwisho wa mrija. Linganisha na mirija mingine. Imezibwa. Haitoroshi maji....
Wanawake mliopo kwenye uzi huu karibuni kwenye mjadala huu, kuhusiana na mila inayolalamikiwa ya kucharazana bakora baina ya wanandoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna dada furani wakati tunaishi mitaa yetu pendwa, alikuwa mpole sana, hapendi ugomvi.
Lakini akipata hisia za wivu mtiti wake huuwezi.
Yaani anaweza kukuchapa kibao, ngumi au akakupiga na .mwiko au hata sufuria la ubwabwa.
Wapole nawaogopa sana
Sasa umeona eeeh!? Fumbo umelileta mwenyewe nilifikiri una majibu. Zoë ndiye jiniazi wetu [emoji1547][emoji1547][emoji1547]Duuuuu, asee kweli huyu jamaa aliyeweka hili fumbo anatisha
Ukimnyima kitumbua si unapewa kibano ama? [emoji16][emoji16][emoji16]
Hatimaye [emoji137]Mi naona ni ushamba tu, ila kwa kesi ya uchebe na shishi nadhani uchebe asilaumiwe sana kwsbb mambo ya ndoa bhana ni magumu na wanaweza wahusika tu.
Hlf talaka ya Instagram nayo mmmmh, ina walakini.