capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ahsante!! Tutafute muda mzuri!Kwa nini tusiwezane [emoji16][emoji16]
Ahsante!! Tutafute muda mzuri!Kwa nini tusiwezane [emoji16][emoji16]
Isee!Zari - ''Kwa kutumia 'umalaya' wangu nilitaka kununua gari 'bentley' kwahiyo nilisevu pesa na kumuomba Baba Tiffah asaidie, alifanya hivyo na sasa nipo njiani kwenda kulichukua gari hilo, mimi ni mpambanaji natumia akili''View attachment 1502403
Naipokea ahsante [emoji120]Kwema Bro.. Heshima Yako!
Anzia hapa. Utapata ufahamu kidogo na baadae fuata YouTube kwa maelezo zaidi ukhitaji ufafanuzi zaidi kwa uelewa mpana!
JavaScript Tutorial
Usijali Anko nipo hapa!Naipokea ahsante [emoji120]
Nashukuru sana. Sitahitaji kujaribu bali ndio naanza, usinichoke nitakapo anza kuhitaji msaada.
Mungu akubariki sana [emoji120]
Sawa,Matunda yana faida nyingi sana za kiafya mwilini.
SwadaktaFaida kuu za matunda ni kuzuia maradhi, kurutubisha kinga ya mwili, kupunguza sukari kwenye damu, kungarisha ngozi, kuleta nguvu na kuleta mafuta asilia kwenye mwili.
Asante sanaWatu wanaopendelea kula matunda na mboga za majani kama sehemu yao kubwa ya mlo wa kila siku hujenga kinga madhubuti za mwili dhidi ya magonjwa.
Watu wanaopendelea kula matunda na mboga za majani kama sehemu yao kubwa ya mlo wa kila siku hujenga kinga madhubuti za mwili dhidi ya magonjwa.
Safi sanaNyuzi nyuzi (fiber) za kwenye baadhi ya matunda kama maembe zinasaidia kulinda dhidi ya magojwa kama mshituko wa moyo (heart attack), fetma na kisukari. Lakini pia inasaidia kupunguza madhara ya uvimbe unaotokana na kuwa na chumvi nyingi mwilini.
Salalee [emoji1][emoji1][emoji1]Usijali Anko nipo hapa!
Kama wewe anko hujaelewa mimi ndio hata nisijaribuSalalee [emoji1][emoji1][emoji1]
Sijaelewa kitu Anko.
Naomba muongozo wa mwanzo kabisa. Haya mambo nayatamani ila taaluma yangu ni Uhasibu. Usinichoke
View attachment 1502423
Attachment haipo! Unataka kujifunza lugha gani?Salalee [emoji1][emoji1][emoji1]
Sijaelewa kitu Anko.
Naomba muongozo wa mwanzo kabisa. Haya mambo nayatamani ila taaluma yangu ni Uhasibu. Usinichoke
View attachment 1502423
Hata kama wewe ni mwana CCM huwezi kuunga mkono ushamba wa aina hiyo.Anaandika Dr.Christopher Cyrilo
_______
Licha ya juu ilipigwa juzi wakati wafungwa wakisimamiwa na askari magereza kupandisha bendera za CCM jijini Dodoma. Picha ya chini ni ya leo, Askari polisi wakishusha bendera za Chadema huko mkoani Singida.
Kwa mwanaCCM hii ni furaha, kwa mwanaChadema ni simanzi. Kwa mtanzania, huu ni upumbavu.!
Anko naomba nijipange ili nikuelekeze mahitaji yangu, maana hiyo Java hata sijui ina husika na nini ila shida yangu ni programmingAttachment haipo! Unataka kujifunza lugha gani?
Kuna siku wapuuzi watajutia vitendo vyaoAnaandika Dr.Christopher Cyrilo
_______
Licha ya juu ilipigwa juzi wakati wafungwa wakisimamiwa na askari magereza kupandisha bendera za CCM jijini Dodoma. Picha ya chini ni ya leo, Askari polisi wakishusha bendera za Chadema huko mkoani Singida.
Kwa mwanaCCM hii ni furaha, kwa mwanaChadema ni simanzi. Kwa mtanzania, huu ni upumbavu.!View attachment 1502372
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kichwa kinaanza kumuuma hapo hapo na tumbo la chini la kukata...Ukizubaa unaweza ukanyimwa hivi hivi unaona [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana Anko, mimi ni mjinga, somo lolote lenye hesabu naelewa haraka sana. Sasa hii kitu sijaona hata namba moja [emoji1][emoji1][emoji1]Kama wewe anko hujaelewa mimi ndio hata nisijaribu