Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwema Bro.. Heshima Yako!
Anzia hapa. Utapata ufahamu kidogo na baadae fuata YouTube kwa maelezo zaidi ukhitaji ufafanuzi zaidi kwa uelewa mpana!

JavaScript Tutorial
Naipokea ahsante [emoji120]
Nashukuru sana. Sitahitaji kujaribu bali ndio naanza, usinichoke nitakapo anza kuhitaji msaada.
Mungu akubariki sana [emoji120]
 
Hata kama wewe ni mwana CCM huwezi kuunga mkono ushamba wa aina hiyo.
Siasa siyo uhasama kiasi hicho.
Huwezi kutumia vyombo vya nchi kwa shughuli za kisiasa.
Ni jambo la hatari linalofanywa watu wapumbavu wasioitakia mema nchi yetu
 
Kuna siku wapuuzi watajutia vitendo vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…