capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Sawa Anko nitakuwa hapa ukinihitaji!Anko naomba nijipange ili nikuelekeze mahitaji yangu, maana hiyo Java hata sijui ina husika na nini ila shida yangu ni programming
Nilianza kuyapapia matunda baada ya kuniondolea gesi iliyoniandama muda mrefu.Vitamin C inapatikana kwenye matunda mengi machachu, mfano machungwa, limao n.k
Ahsante, naandaa maelezo nadhani yatakufikia kesho.Sawa Anko nitakuwa hapa ukinihitaji!
Fanya hivyo mkuu, jionee post za nyuma na jigongee likes.Wadau nitarudi nyuma sana kuwapa likes msifikiri nafukua makaburi
Long time sikuwepo humu
Kweli kabisa ankoAnko mimi ni mzazi, migogoro kwenye mahusiano mara nyingi muathirika ni mwanamke. Wababa kwa kiasi kikubwa tuna hofu na binti zetu kwenye maisha yao ya ndoa
Nasubiri highlight zako mkuu[emoji16]
Umalaya nao ni akili?..Zari - ''Kwa kutumia 'umalaya' wangu nilitaka kununua gari 'bentley' kwahiyo nilisevu pesa na kumuomba Baba Tiffah asaidie, alifanya hivyo na sasa nipo njiani kwenda kulichukua gari hilo, mimi ni mpambanaji natumia akili''View attachment 1502403
[emoji849][emoji849][emoji849] hayo ndio nitaelewa mimi kweli?Hapana Anko, mimi ni mjinga, somo lolote lenye hesabu naelewa haraka sana. Sasa hii kitu sijaona hata namba moja [emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1502424
Leo GIF naona zimegoma mpaka kesho mkuuNasubiri highlight zako mkuu[emoji16]
Nimekuelewa na huo ndiyo msimamo wangu tangu kitambo.....Kesi za mapenzi? Nilijifunza kusikiliza pande zote mbili...halafu natumia akili za kuambiwa nachanganya na za kwangu....nadhani mmenielewa...[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Umalaya nao ni akili?..
Shwaini zake, unafanya ufuska halafu unajisifia!!
Timu Zari naomba mnisamehe
Ndiyo. Nadhani ni huko Peru zamani. Mpaka nigugo. Wanasema mpaka kidunia kizima kilishtuka na kujongea mita kadhaa kwenye mhimili wake...Hii magnitude 9 ilishawahi kutokea poti? [emoji23][emoji23]