Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Daah haters mpo vizuri. Si kila siku mnamuita malaya. Hii dharau mlimdharau tangu awe na domo. Kila siku mnabadilisha sababu za kumdharau mna kazi kubwa pole zenu.Nimemdharau mwanamke huyu alivodanganya watu Kaolewa na Politician wa SA, baada ya Diamond kuwa single na KingBae kayayuka 🤣🤣
Mwanzo nilifkiri watu wanamwonea kumbe kweli
Kabisa kabisa yaan tumebakiwa na Southampton nyumbani tunamla.Hivi mnayo nafasi kwenye ushindani wa top 4
Ina maana ili mkolifai mnatskiwa mechi zote zilizobaki?Kabisa kabisa yaan tumebakiwa na Southampton nyumbani tunamla.
Crystal palace ugenini japo huwa ni mbaya wetu tutamla tu.
West Ham nyumbani atakalia tu hakuna namna.
Sasa huyo Leicester game ya mwisho atajua hajui, atasukumiwaje moto hataamini.GGMU.
Hivi Mange ana ugomvi na wasanii?Hio habari umeitoa kwa haters moud. Mange in disguise huwa hana zuri la zari.
Ndiyo ni ushindi na kwa kweli sioni wa kutusimamisha hata FA Chelsea aandae mafuta tu..😂Ina maana ili mkolifai mnatskiwa mechi zote zilizobaki?
Hebu ngoja nipitie tebo nijionee washindani wenu
| Team | P | W | D | L | GD | Pts | ||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | team hasn't moved | Liverpool | 34 | 30 | 2 | 2 | 49 | 92 |
| 2 | team hasn't moved | Man City | 34 | 22 | 3 | 9 | 52 | 69 |
| 3 | team hasn't moved | Chelsea | 34 | 18 | 6 | 10 | 17 | 60 |
| 4 | team hasn't moved | Leicester | 34 | 17 | 8 | 9 | 32 | 59 |
| 5 | team hasn't moved | Man Utd | 34 | 16 | 10 | 8 | 26 | 58 |
| 6 | team hasn't moved | Wolves | 34 | 13 | 13 | 8 | 8 | 52 |
| 7 | team hasn't moved | Sheff Utd | 34 | 13 | 12 | 9 | 2 | 51 |
| 8 | team hasn't moved | Arsenal | 34 | 12 | 14 | 8 | 8 | 50 |
| 9 | team hasn't moved | Tottenham | 34 | 13 | 10 | 11 | 8 | 49 |
| 10 | team hasn't moved | Burnley | 34 | 14 | 7 | 13 | -8 | 49 |
| 11 | team hasn't moved | Everton | 34 | 12 | 9 | 13 | -8 | 45 |
| 12 | team hasn't moved | Southampton | 34 | 13 | 5 | 16 | -13 | 44 |
| 13 | team hasn't moved | Newcastle | 34 | 11 | 10 | 13 | -15 | 43 |
| 14 | team hasn't moved | Crystal Palace | 34 | 11 | 9 | 14 | -13 | 42 |
| 15 | team hasn't moved | Brighton | 34 | 8 | 12 | 14 | -11 | 36 |
| 16 | team hasn't moved | West Ham | 34 | 8 | 7 | 19 | -19 | 31 |
| 17 | team hasn't moved | Watford | 34 | 7 | 10 | 17 | -22 | 31 |
| 18 | team hasn't moved | Bournemouth | 34 | 7 | 7 | 20 | -27 | 28 |
| 19 | team hasn't moved | Aston Villa | 34 | 7 | 6 | 21 | -29 | 27 |
| 20 | team hasn't moved | Norwich | 34 | 5 | 6 | 23 | -3 |
Ana ugomvi na kila mtu anayeona kamzidi kimafanikio. Huku kwa wasanii ndo fani yake ,wanasiasa kakurupuka tu kwa maslah binafsiHivi Mange ana ugomvi na wasanii?
Nilidhani ana tatizo na wanasiasa pekee, mpaka huko?
Basi hafai
Hivi unawezaje kuendesha maisha kwa mtindo huo?Ana ugomvi na kila mtu anayeona kamzidi kimafanikio. Huku kwa wasanii ndo fani yake ,wanasiasa kakurupuka tu kwa maslah binafsi
Wafrika tunaishi maisha magumu sana,Ana ugomvi na kila mtu anayeona kamzidi kimafanikio. Huku kwa wasanii ndo fani yake ,wanasiasa kakurupuka tu kwa maslah binafsi
Mh JF ina watu wazito sana..Wafrika tunaishi maisha magumu sana,
Yaani badala ya kupambania maisha yako unahangaika na maisha ya mtu mwingine.
Huo ndiyo uchawi.
Unawezaje kupoteza muda wako na vitu vya watu wengine!?
Halafu marehemu babake namjua na sababu za kujiua kwake nazijua.
Ni vile tu babake pamoja na mapungufu yake lakini alikuwa mtu wa watu, vinginevyo watu wangeanika unyama aliofanyiwa nabake mpaka kujiua, huyu Mange asingeinua ulimi
Haya ndio maisha ya waafrika. Kuna kipinfi alikua na blog kabisa kutwa kusema wenzie na kutoa maneno ya kutaka kuvunja ndoa za wenzie. Mwanamama mmoja kidogo ajiue kwa kuzushiwa skendo ya kuliwa tigo na mchepuko huku yupo ndoani yaan ilikua vurugu mechi.Wafrika tunaishi maisha magumu sana,
Yaani badala ya kupambania maisha yako unahangaika na maisha ya mtu mwingine.
Huo ndiyo uchawi.
Unawezaje kupoteza muda wako na vitu vya watu wengine!?
Halafu marehemu babake namjua na sababu za kujiua kwake nazijua.
Ni vile tu babake pamoja na mapungufu yake lakini alikuwa mtu wa watu, vinginevyo watu wangeanika unyama aliofanyiwa nabake mpaka kujiua, huyu Mange asingeinua ulimi
Oohh ya Kasumulu auNi boda Anko
Mwenzangu yupi huyo MoudySalaam Zoè mwenzako yuko ?
Mi nilifanya kazi na marehemu Kimambi tangu wakati huo anaishi mtaa wa Kitomondo Temeke.Haya ndio maisha ya waafrika. Kuna kipinfi alikua na blog kabisa kutwa kusema wenzie na kutoa maneno ya kutaka kuvunja ndoa za wenzie. Mwanamama mmoja kidogo ajiue kwa kuzushiwa skendo ya kuliwa tigo na mchepuko huku yupo ndoani yaan ilikua vurugu mechi.
Kwa mange raha sana sana kuwabully wenzie. Just imagine kamtukana zari kabla tiffa hajazaliwa na alipozaliwa kaanza tukana mtoto na kudai DNA kuwa sio mtoto wa mond,akamtafutia mababa kibao.
Ishu ya baba ake,le mutuz huwa anaitumia ila watoto wa mke halali wa mzee kimambi huwa wanamuomba radhi.
Saint Anne yuko wapiMwenzangu yupi huyo Moudy