Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daah ndo hivyo tena. Sema mange ni mtoto wa nje tena wa housegirl wa hapo kwa mzee,nadhan ana katatizo hako kila akifikiria misukosuko ya utoton anaona kila mtu ni adui yake.
 
Habari za mitqndaoni ni kuwa wote ni matajiri, wote wako high class, wote wametoka mjini, wote wasomi, wote wana mahusiano bora n.k
Tunaosema wa simiyu tumebaki wachache[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu,mambo ya kwenye mitandao sio ya kuyaamini sana.Mimi nikisema nina hiki na hiki bado hautakiwi kuniamini maana ni maneno/picha tu ninazo kuonyesha uhalisia haupo.
Tafuta watu wachache muaminiane basi mtajengana lakini sio mambo ya timu fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…