Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Anha msalimie sana bibi yangu pale njiapanda ya bodaNdiyo Anko
Mmmh mara hii watu wameshafanya yao [emoji23][emoji23]Oohh yuko analea
Yaliyopita si ndwele...Nini kilisababisha ajiue
[emoji23][emoji23][emoji23] analea nini? Unamjaza andaetini wetu eehOohh yuko analea
Sure!Fear the beard!!
Hayo yameshapita bro, dini haituruhusu kuongelea mabaya ya maiti zetu.Yale wanayoyasema juu ya kifo chake yanaukweli wowote bro?
Aisee, hizi habari zitakuwa zinaukweli ndani yake maana nazisikia mara kwa mara sana... Pole yaoEti ee tena wanasema walituma kanda zile za vhs na mpokeaji mange na muwekaji kwenye deki ni yeye kisha laivu familia nzima ikashuhudia daah. Moudy eti ni kweli?
Upo sawa bro!!Hayo yameshapita bro, dini haituruhusu kuongelea mabaya ya maiti zetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zimefika salamaMmmh mara hii watu wameshafanya yao [emoji23][emoji23]
Mpe salaam na kichanga chake
Daah niambie hata pm basi rafiki naona wote humu mnajua kasoro mimi tuYaliyopita si ndwele...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] analea kichanga[emoji23][emoji23][emoji23] analea nini? Unamjaza andaetini wetu eeh
[emoji23][emoji23] utamsalimia ankoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] analea kichanga
😅😅😅Huyo kijana ni timu domo damu damu. Nyuzi nyingi za kumsifia domo zimeandikwa na huyu mwamba
Akiangalia movie akaipenda mtajua tu
Akiomba app ya movies lazima atauliza ipo google au playstore
Huku kwa leiza wazima kabisa,tunasubiria jiwe lingine liibuke
Za huko je bwana jezi wetu,kijana uliyeuteka moyo wa Depal
I miss you!!Hamjambo...