myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu awaponye wagonjwa wote...
Jirani, inajengwa sehemu gani hii? Huku Kijijini hata hujui mjini kinaendelea nini; halafu nasikia wale "Kandambili" jana wamepigwa! 😅😅Stesheni bombaView attachment 1505685
Duh!!Wasira tangu miaka hata shule ya msingi sijaanza upo tu.
Wakati wa Nyerere Ulikuwepo.
Awamu ya mzee Mwinyi Ulikuwepo.
Awamu ya mzee Mkapa Ulikuwepo.
Awamu ya mzee Kikwete Ulikuwepo
Awamu hii nayo unataka Uwepo.
Kama uongozi ni uzoefu, basi serikali yote mzoefu ni mmoja tu.
Stephen WasiraView attachment 1505677
mmmh poti nani kakudanganya hata hawajapigwaJirani, inajengwa sehemu gani hii? Huku Kijijini hata hujui mjini kinaendelea nini; halafu nasikia wale "Kandambili" jana wamepigwa! 😅😅