Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Pongezi kwa wanasimba wote ndani ya uzi huu
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 man u tuna dua mbovu mbovu kila kukicha. Na vile city kafanikiwa kukwepa kifungo cha UEFA basi tunapata tabuVile tunaingia kwenye top 4 rasmi[emoji23][emoji23][emoji23]..kuna watu wasiione hii
City akikaa vibaya akapoteza game zilizobaki, tunaenda nafasi ya pili wallah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1505842
Mbona wote wazee yaan watavunja rekodi ya barca. Hope watasajili backup za maanaLeeds United wanahitaji point moja tu kurejea EPL...
Hiki ni kikosi chao bora kabsa kuwahi kutokea kikiongozwa na mshamuliaji matata Mark Viduka chini ya ulinzi imara wa Rio FerdinandView attachment 1505846
Hiki ni kikosi chao cha zaman kilichotamba miaka ya 2003,moja ya kikosi bora cha Leeds kilichowahi kutishaMbona wote wazee yaan watavunja rekodi ya barca. Hope watasajili backup za maana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tu,city sasa hv sherehe huko,acha tufurahie sasa hivi tumeteseka sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] man u tuna dua mbovu mbovu kila kukicha. Na vile city kafanikiwa kukwepa kifungo cha UEFA basi tunapata tabu
Aaah kumbe basi nikadhan cha saivHiki ni kikosi chao cha zaman kilichotamba miaka ya 2003,moja ya kikosi bora cha Leeds kilichowahi kutisha
Mateso yalikua marefu ila tu hatukufikia kiwango cha arsenal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tu,city sasa hv sherehe huko,acha tufurahie sasa hivi tumeteseka sana
Khaaaaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DuhBugatti Veyron bila kodi inauzwa Tsh Bilioni 3.4. Bei ya kubadilisha Oil' tu ni Tsh Milioni 48.6.
Yaani wewe dah! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mwanamke anapofika kileleni huongeza kasi ya mbegu ya kiume yenye Kromosomu "Y" kukutana na yai ili kufanya mimba ya mtoto wa kiume.
Kwani kwenye kikombe cha babu ilikuwaje?Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amethibitisha kuwa Seneta mmoja na msaidizi wa seneti nchini Madagascar wamefariki dunia leo kutokana na Ugonjwa wa Covid19.
Rajoelina ameongeza kuwa maseneta wengine 14 na wasaidizi 11 nchini humo wanaugua ugonjwa huo. Mpaka sasa watu 5,080 wameugua virusi vya Corona nchini humo, na watu 37 wamefariki dunia. Kuanzia jana hadi leo watu 213 wamekimbizwa hospitali wakiwa mahututi.
Wiki iliyopita serikali nchini humo iliweka tena zuio la kutoka nje (lockdown) kwa wananchi wanaoishi maeneo yanayozunguka mji mkuu wa Antananarivo, kwa lengo la kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya Virusi vya Corona.
#MyTake;
Vipi ile "sample" tuliyoambiwa inachunguzwa na majibu tutapewa ndani ya wiki mbili? Je wiki mbili hazijaisha au ilimwagwa kimyakimya? Na vp mafuta ya bombadier zetu zilizotumika kwenda kufuata togwa la Madagascar? Wataturudishia? Ma je wale waliosema ile togwa sio dawa wakaitwa mawakala wa mabeberu, je wataombwa radhi? Na vp wale waliokunywa ile dawa kwa tashwishwi, watapewa dawa ya kusafisha tumbo au ndo basi tena?
Malisa GJ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]