Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zk1nQ2pacw.jpg
 
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amethibitisha kuwa Seneta mmoja na msaidizi wa seneti nchini Madagascar wamefariki dunia leo kutokana na Ugonjwa wa Covid19.

Rajoelina ameongeza kuwa maseneta wengine 14 na wasaidizi 11 nchini humo wanaugua ugonjwa huo. Mpaka sasa watu 5,080 wameugua virusi vya Corona nchini humo, na watu 37 wamefariki dunia. Kuanzia jana hadi leo watu 213 wamekimbizwa hospitali wakiwa mahututi.

Wiki iliyopita serikali nchini humo iliweka tena zuio la kutoka nje (lockdown) kwa wananchi wanaoishi maeneo yanayozunguka mji mkuu wa Antananarivo, kwa lengo la kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya Virusi vya Corona.

#MyTake;
Vipi ile "sample" tuliyoambiwa inachunguzwa na majibu tutapewa ndani ya wiki mbili? Je wiki mbili hazijaisha au ilimwagwa kimyakimya? Na vp mafuta ya bombadier zetu zilizotumika kwenda kufuata togwa la Madagascar? Wataturudishia? Ma je wale waliosema ile togwa sio dawa wakaitwa mawakala wa mabeberu, je wataombwa radhi? Na vp wale waliokunywa ile dawa kwa tashwishwi, watapewa dawa ya kusafisha tumbo au ndo basi tena?
Malisa GJ
Togwa[emoji1786][emoji1786]
 
Naomba tuwili tu kamanda...

Ila Wasukuma kweli washamba. Yaani Mkanada Williamson aliwakuta wanatumia hizi kuchezea bao mwaka 1936. Mkanada wa watu akapaniki akaenda kwa De Beers akajiuzulu kazi haraka haraka akakimbia nyumbani kuchukua pesa za kuja kuanzisha mgodi wake hapo Mwadui. Na mpaka leo Wasukuma wako vile vile japo mialmasi kibao inachimbwa pale...
 
Inashangaza sana, maana mwaka 1936 ni juzi tu.
Wakati Sir H Rider Haggard ametoa kitabu chake cha King Solomon's Mins chenye maudhui yanayofanana na hayo mwaka 1885.
Nadhani angalau wangesoma kitabu hicho wangepata mwanga walau kidogo kuhusu Almas.
Hata hivyo tusijilaumu maana giza la bara Afrika tumeishi nalo kwa muda mrefu na bado tunaendelea nalo mpaka sasa.
Usishangae miaka 50 ijayo wajukuu wa kiafrika wakatushangaa watu wa kizazi chetu tunavyoruhusu wageni wajichukulie Ruby, dhahabu na madini mengine mengi
 
Back
Top Bottom