capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Jirani hujatia nia?Usiku uwe mwema kwetu wooote
Hapana jirani....Jirani hujatia nia?
Asante broSalama bro..
Tumeshapoa bro, hongereni kwa ushindi wa jana pia, mlikuwa vizuri kila idara
AsanteWakulima wote hongereni sana
Kandambili jana tulijipigia jirani.Jirani, inajengwa sehemu gani hii? Huku Kijijini hata hujui mjini kinaendelea nini; halafu nasikia wale "Kandambili" jana wamepigwa! [emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Manchester United is playing And The Whole World is Happy [emoji851]
.