Togwa[emoji1786][emoji1786]Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amethibitisha kuwa Seneta mmoja na msaidizi wa seneti nchini Madagascar wamefariki dunia leo kutokana na Ugonjwa wa Covid19.
Rajoelina ameongeza kuwa maseneta wengine 14 na wasaidizi 11 nchini humo wanaugua ugonjwa huo. Mpaka sasa watu 5,080 wameugua virusi vya Corona nchini humo, na watu 37 wamefariki dunia. Kuanzia jana hadi leo watu 213 wamekimbizwa hospitali wakiwa mahututi.
Wiki iliyopita serikali nchini humo iliweka tena zuio la kutoka nje (lockdown) kwa wananchi wanaoishi maeneo yanayozunguka mji mkuu wa Antananarivo, kwa lengo la kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya Virusi vya Corona.
#MyTake;
Vipi ile "sample" tuliyoambiwa inachunguzwa na majibu tutapewa ndani ya wiki mbili? Je wiki mbili hazijaisha au ilimwagwa kimyakimya? Na vp mafuta ya bombadier zetu zilizotumika kwenda kufuata togwa la Madagascar? Wataturudishia? Ma je wale waliosema ile togwa sio dawa wakaitwa mawakala wa mabeberu, je wataombwa radhi? Na vp wale waliokunywa ile dawa kwa tashwishwi, watapewa dawa ya kusafisha tumbo au ndo basi tena?
Malisa GJ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mmmh poti nani kakudanganya hata hawajapigwa
Naomba tuwili tu kamanda...
Enzi za Lucas Radebe, Anthony "toni" Yeboa toka Barani AfrikaLeeds United wanahitaji point moja tu kurejea EPL...
Hiki ni kikosi chao bora kabsa kuwahi kutokea kikiongozwa na mshamuliaji matata Mark Viduka chini ya ulinzi imara wa Rio FerdinandView attachment 1505846
Huyu mzee amepotea mpaka amechanganyikiwaVyama vingine si vifutwe tu?
View attachment 1505888
Asante, nawe piaUsiku uwe mwema kwetu wooote
Inashangaza sana, maana mwaka 1936 ni juzi tu.Naomba tuwili tu kamanda...
Ila Wasukuma kweli washamba. Yaani Mkanada Williamson aliwakuta wanatumia hizi kuchezea bao mwaka 1936. Mkanada wa watu akapaniki akaenda kwa De Beers akajiuzulu kazi haraka haraka akakimbia nyumbani kuchukua pesa za kuja kuanzisha mgodi wake hapo Mwadui. Na mpaka leo Wasukuma wako vile vile japo mialmasi kibao inachimbwa pale...
Kweli ameacha[emoji1787][emoji1787]
Mmhhh!!!Mwanamke anapofika kileleni huongeza kasi ya mbegu ya kiume yenye Kromosomu "Y" kukutana na yai ili kufanya mimba ya mtoto wa kiume.
AiseeTungekuwa tunaijua kesho yetu tusingeishi maisha ya malingo na kujiona.View attachment 1505969