Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
AiseeBugatti Veyron bila kodi inauzwa Tsh Bilioni 3.4. Bei ya kubadilisha Oil' tu ni Tsh Milioni 48.6.
AiseeLulu vs elizaView attachment 1505845
Duh!!Da'Vinci
Mwaka 2011 madaktari walisema kuwa Fagilyu Mukhametzyanov, kutoka Kazan, Urusi, ameshafariki lakini kumbe alikuwa amezirai na alikuja kustuka wakati anakaribia kuzikwa. Alipatwa na mstuko wa moyo na akakimbizwa Hospitali lakini alikufa ndani ya dakika 12, Safari hii ikiwa ni kifo cha kweli.