Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa na nyie mlikuwa mnashabikia ya wanandoa kwa nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni yeye mwenyewe aliyamwaga mtama hadharani. Angekausha hakuna mtu ambaye angehangaika na ndoa yake. Hata wewe bageshi ukiyaanika yako mtandaoni watu hawatakaa kimya...na kwa vile una busara zako na tumekulea vizuri hutafanya hivyo. Hata yule mzee alipotokomea na pesa za maparachichi hukukimbilia kulalamika mtandaoni bali ulikuja nyumbani tukayaongea na kuyamaliza kindugu. Hivyo ndivyo inavyotakiwa [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…