Nguvu gani bana... hebu nambie mtu kama Cristiano, yale manguvu aliyonayo, wala hali hayo magimbi. Ukimchukua Francis cheka mnywa uji na myweather mnywa milkshake, nani atatwangwa mpk kifo..???Ila magimbi na
Uji vinaleta nguvh mwilin
Kamati baadae,tumuombe dada cocochanel ashiriki,japo tuna mlenga yeye mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna namna....Hahahahhaha
Cole Williams ugonjwa carba-malaria.
Aleyn anahitaji msaada wa andjul ho chi minh
Cole Williams
SHIMBA YA BUYENZE
Daaah.!Nutritious breakfast maandazi (carbohydrates), yai (proteins), kachimbari (vitamin c na roughage), maziwa yana fats... unashushia na maji. Mtu wa mkoa ataka ale magimbi na uji (zote carbohydrates).
Saydavto kaangukia mtasha!!!Duh!View attachment 537876
Numbisa!! Hivi huyu jamaa hua ni mboga ya watu... niliwahi kumuona pale China Bar anajichekesha chekesha na kunyonya lips bila mpangilio.
HahhahaaKamati baadae,tumuombe dada cocochanel ashiriki,japo tuna mlenga yeye mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna namna....
Sio msanii,muuza sura insta ana pozi za kike kike tupuNi msanii wa bongi huyo au?
Hizi mboga tuNguvu gani bana... hebu nambie mtu kama Cristiano, yale manguvu aliyonayo, wala hali hayo magimbi. Ukimchukua Francis cheka mnywa uji na myweather mnywa milkshake, nani atatwangwa mpk kifo..???
healthy meal
Kazi kweli mkuu.Natamani siku mwanaume wa mkoani aje anitembelee. Wallah ntakua namkomoa daily, hadi ajue kua kula vzr si kula sana. Mtu unakula km kiwavi jeshi bana.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] hapo mgonjwa hacheleweshwi,toa rushwa,pata huduma rudi kwenu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] au sijaelewa???
Wanaume wa mkoa kazi kujaza vyoo tu. Tafuteni pesa acheni kujisifu kula kisado kizima cha mapera.Hizi mboga tu
Hahaha jaman[emoji125] [emoji125] [emoji125] hapo mgonjwa hacheleweshwi,toa rushwa,pata huduma rudi kwenu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] au sijaelewa???
Niambie nsamaka,habari ya kazi?Mweh, nimecheka hadi machozi
Sawa mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wapi tena mkuu??tumesha ondoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama bado hujaoa huyo mtoto wa watu huko alipo ajipange c kwa mapishi hayo aiseeh..!!ukute na mwanamke mwenyewe kwenye mapishi zeroo hahahahaha..Nguvu gani bana... hebu nambie mtu kama Cristiano, yale manguvu aliyonayo, wala hali hayo magimbi. Ukimchukua Francis cheka mnywa uji na myweather mnywa milkshake, nani atatwangwa mpk kifo..???
healthy meal