capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Safi sanaKazi kazini. Hakuna kukata tamaaView attachment 1508820View attachment 1508820
Wazee wa kusaka likes..Wachapa likes hamjambo
Kwa upande wangu namshukuru Rabana kwa kunijaalia afya njema.
Alhamdulillah [emoji120][emoji120]
Kuifunga Yanga kunatosha bhana.Yamepigwaaaaa [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
View attachment 1508828
View attachment 1508830
Maslahi sheikhTaarifa ni kwamba, idadi ya watu waliochukua fomu ni kubwa mno.
Wingi wa watanzania waliotangaza nia, kuchukua fomu na kuziresha inaonyesha watanzania wengi wameanza kuvutiwa na siasa
Kumtandika bao 4 mtani wako wa jadi unapata raha kama upo kwenye 6x6 na umpendaye.Yamepigwaaaaa [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
View attachment 1508828
View attachment 1508830
Hii picha ndiyo nimeielewa sahivi
Hii picha ndiyo nimeielewa sahivi