myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kiazi kitamu...Viazi vingibe hovyo kabisaView attachment 1511040
Si mbaya sana, vipi upande wako.?Mambo th
Kwangu safi sana.. hamia United yatakuwa safi sanaaSi mbaya sana, vipi upande wako.?
Mkuu Dae, niaje.
Hongera mkuu kwa ujenzi
Vitunguu saumu vimenishinda.Ulaji mara kwa mara wa Vitunguu Saumu' husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa' kwa wanaume. Husaidia kulainisha mafuta yote yanayopatikana katika mishipa ya damu hivyo huongeza kasi ya mzunguko wa damu kwa haraka. Wakati wa tendo la ndoa damu huteremka kwa urahisi mpaka kwenye Uume' na kuzidi kuongeza hamu zaidi.
Salama kabisa, kwako jeHabari za jioni ndugu zangu