Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Changanya na tangawizi kidogo. Ukiona vipi unaweka na ka limao kwa mbali.
Mm huwa na blend tangawizi na kutunguu swaum kisha nakamulia limao kidogo ndio naweza tumia bila shida.
Ila kitunguu swaumu pekee siwezi kbs.
Kwahiyo nachanganya au nakula tofauti?
Maana vitunguu Swaumu nikitafuna naweza kutapika kila kitu mkuu.
Labda nivimeze kama vidonge.
Huwa nafanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…