Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bashite ategemee huruma za daddie wake [emoji1734][emoji1734][emoji1734]
DuuùHili jamaa bana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1511708
Yuko very humble huyu jamaa pamoja na kwamba ni msomi na mtaalamu wa tiba wa kiwango cha kimataifa. Hata alipoondolewa unaibu waziri aliondoka bila kelele. Wakimkata huko juu ili kumuweka huyu Bashite aisee nitahama CCM [emoji16][emoji16][emoji16]
mzee wa liver yuko huko. Labda kama ma K Vant yake yamemwelemea. Atatupa mrejesho [emoji16][emoji16]SHIMBA YA BUYENZE , ukiyaona ya Ukerewe nistue; kuna jamaa mmoja ametia nia huko. [emoji23][emoji23]
Aisee... Hadi wewe Naddy?inabidi jamaa ajitathimi sana mwenendo wake kiujumla!Poa poa.. ni furaha tele tele leo...
Ni mjinga. Hajui kuishi na watu. Huyu hata kama angekuwa na pesa za Jeff Bezos, Bill Gates na Warren Buffet combined angeendelea kudharaulika tu. Ajifunze kuishi na watu na kupunguza majigambo. Kama daddie wake atakuja kumwokoa basi CHADEMA waniandalie kadi yangu kabisa iwe tayari tayari [emoji51][emoji51][emoji51]Aisee... Hadi wewe Naddy?inabidi jamaa ajitathimi sana mwenendo wake kiujumla!