Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tangu huyu jamaa wa mortuary anisalimie, *"Habari customer"*, nimeshikwa na kizunguzungu,ninahara damu alafu naskia nikama nkona mimba na mimi ni mwananume.[emoji17][emoji17][emoji17]

Bangi[emoji38] – 91
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] 65%

Eeh,uko na mimba [emoji23] – 35
[emoji106][emoji106][emoji106] 25%

[emoji16][emoji16][emoji16] – 13
[emoji106] 9%

[emoji186] 139 people voted so far.
 
Njema tu, bado tuko na wkend ndefu.
Vizuri,rakebisha rekibisha hapo home,usafi wa mtoto kidogo,matembezi ya hapa na pale,hakikisha unamjibu mtoto maswali yake yote sawa?Ila akisema "mama eti baba ameenda Kibiti?" Mwambie "ushindwe",asinichulie [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] .
 
Hahahah halafu nasikia umenunua kiwanja huko kibiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…