Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Enheee... huo huo..Baadhi ya watu huogopa kuwa na furaha sana sababu wanahisi kuna jambo baya linaweza kuwatokea muda wowote baada ya furaha, Hali hiyo inaitwa Cherophobia.
Hahahahahah paulo nilikuaga namtetea ila sasa sifa zikamzidi. Cheeeeiii unaacha ukuu wa mkoa kisa ubunge mfyuuu zakeEnheee... huo huo..
Ngoja tufurahi kwanza hamna baya laweza kutokea katika hili...
Doktaaaa kafanya upasuaji... kawa TX
Katoa maradhi ya ndani...
Enheee... huo huo..
Ngoja tufurahi kwanza hamna baya laweza kutokea katika hili...
Doktaaaa kafanya upasuaji... kawa TX
Katoa maradhi ya ndani...
Lengo lake lilikuwa ni uwaziri. Bado vikao vya juu vinaweza kumpiga chini dokta na kumpitisha yeye. Kigwangala alishawahi kunyanyuliwa kwa njia hii...Hahahahahah paulo nilikuaga namtetea ila sasa sifa zikamzidi. Cheeeeiii unaacha ukuu wa mkoa kisa ubungo mfyuuu zake
Alizidisha na kuvuka mipaka kwa kweli..Hahahahahah paulo nilikuaga namtetea ila sasa sifa zikamzidi. Cheeeeiii unaacha ukuu wa mkoa kisa ubunge mfyuuu zake
Nilijua wahenga ndio wanaujua huo mwimbo😂😂Naddy nawe mkorofi wa chini chini eeeh!. Eti doktaa kafanya upasuaji...katoa maradhi ya ndani....vidokezo vya taarabu hivi....sijui kama ni mama Zuchu au mwingine...Kibwagizo chake kilikuwa [emoji443][emoji443]Daktari nipasue....
#Acha ukorofi [emoji16][emoji16][emoji16]
#AchaUkorofi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Nilijua wahenga ndio wanaujua huo mwimbo[emoji23][emoji23]
Kuna ukweli hapa maana dokta katumbuliwa juzi juzi kisa corona. Ila akirudishwa wana ccm watapigia upinzani mfano kwa msingwa huko iringa alishinda kwa style hii. Kura za maon ccm alishinda mwakalabela vikao vya juu vikamchagua monica. Kura za hasira zikambeba msingwa wa chadrmaLengo lake lilikuwa ni uwaziri. Bado vikao vya juu vinaweza kumpiga chini dokta na kumpitisha yeye. Kigwangala alishawahi kunyanyuliwa kwa njia hii...
Watakuwa wajinga wakifanya hivyo. Mi nahisi babake atamrudisha kwenye ukuu wa mkoa, ubunge wa kuteuliwa au atalamba ubalozi.Kuna ukweli hapa maana dokta katumbuliwa juzi juzi kisa corona. Ila akirudishwa wana ccm watapigia upinzani mfano kwa msingwa huko iringa alishinda kwa style hii. Kura za maon ccm alishinda mwakalabela vikao vya juu vikamchagua monica. Kura za hasira zikambeba msingwa wa chadrma