Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23] bro bhana, kwa hyo umeamua kubadili avatar kabsa, kumuenzi[emoji23][emoji23]Ni mjinga. Hajui kuishi na watu. Huyu hata kama angekuwa na pesa za Jeff Bezos, Bill Gates na Warren Buffet combined angeendelea kudharaulika tu. Ajifunze kuishi na watu na kupunguza majigambo. Kama daddie wake atakuja kumwokoa basi CHADEMA waniandalie kadi yangu kabisa iwe tayari tayari [emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseeEnheee... huo huo..
Ngoja tufurahi kwanza hamna baya laweza kutokea katika hili...
Doktaaaa kafanya upasuaji... kawa TX
Katoa maradhi ya ndani...
Ana rafiki yake wa karibu pia ni rafiki yangu wa karibu. Wote wana mawazo sawa. Yaani ukienda kwake siku nzima mtakaa mnaongelea Land Cruiser yake jinsi ilivyo mtelezo, mara mashamba yake, mara nyumba yake...yaani ni fulu majivuno. Inaboa sana bro...[emoji23][emoji23][emoji23] bro bhana, kwa hyo umeamua kubadili avatar kabsa, kumuenzi[emoji23][emoji23]
Ni kweli kabsa bro,jamaa kwa hali hii inayoendelea hivi ni funzo tosha.
Ila huyu ni hawezi kubadirika kamwe,sikio la kufa hili
Huyu aliyekaa karibu na Makonda ni Numbisa? π πββοΈπββοΈHata marundo hayakulingana [emoji1734][emoji1734][emoji1734]
View attachment 1512066
Kumbe je! π πMzuri hivyooo
Huyu aliyekaa karibu na Makonda ni Numbisa? [emoji28][emoji2089][emoji2089]
Esta ni anonimazi foreva hawezi kujianika hivi mbele ya mabaharia [emoji16][emoji16][emoji16]Mzuri hivyooo
Na kweli aisee. π πEsta ni anonimazi foreva hawezi kujianika hivi mbele ya mabaharia [emoji16][emoji16][emoji16]
SawasawaHii ndio njia inayoshauriwa zaidi na ndiyo inayotumia na wakulima wengi wa vitunguu. Hapa Tanzania upandaji wa mbegu za vitunguu katika kitalu kwa ujumla huanza mwezi machi hadi mei kutegemea na msimu wa kilimo.
SawasawaKUNDI LA PILI: MBOLEA ZA KUKUZIA:
Mbolea hizi huwekwa kipindi cha ukuaji wa mmea (vegetative growth) na hua na lengo la kuupa mmea ukuaji mzuri utakaopelekea kua na majani mazuri yatakayotengeneza chakula cha kutosha cha kwenye mmea.
Kitendo hichi cha mmea kutengeneza chakula chake huitwa Photosynthesis na hufanyikia kwenye majani. Kirutubisho kikuu katika kundi hili la mbolea ni Nitrogen (N). Baadhi ya mbolea zilizopo kwenye kundi hili ni pamoja na UREA, SA, CAN n.k.
Pia kwenye kundi hili zipo mbolea za maji zinazopigwa kwenye majani (foliar fertilizers) hujulikana pia kama booster.
Ndio stahili yake....Nassari kaambulia 26...
View attachment 1512071
ππππAna rafiki yake wa karibu pia ni rafiki yangu wa karibu. Wote wana mawazo sawa. Yaani ukienda kwake siku nzima mtakaa mnaongelea Land Ceuiser yake jinsi ilivyo mtelezo, mara mashamba yake, mara nyumba yake...yaani ni fulu majivuno. Inaboa sana bro...
Mmmh, Aggrey Mwanri ChaliiKUTOKA JIMBONI SIHA
1. Dr Godwin Mollel........... *58*
2. Justine Kweka *85*
3. Lameck Munuo... *91*
4.AGGREY MWANDRY... *151*
5.Eng.Betson Maimu.... *231*
Eng. Betson Maimu... [emoji3581][emoji3581][emoji3581]
HahahahaNa tunaohesabu kura za maoni usitusahau jirani [emoji16]