moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Si ukristo tu.Wapambe wanajifariji tu. Katika Ukristo misaada hii ya kujitangaza ujulikane na watu kuwa umesaidia wala haina karama kivile mbele ya Mungu bali ni machukizo tu...
Kwenye uislam tunafundishwa hivyo pia.
Kwamba mwanadamu unapaswa kuwajali wenye hali duni, uwasaidie kiasi cha uwezo wako, mwenye mali atoe mali kwao, mwenye elimu (maarifa) atoe, lakini haya yasiwe matangazo.
Unatoa msaada wa kiroba cha sembe ukiwa umeita waandishi wa habari watangaze msaada wako.
Hairuhusiwi.