Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20200721-WA0011.jpg
 
MAPENZI YANAUMIZA SANA 😥😥

"LEO NI SIKU YA KUZALIWA KWA MPENZI WANGU, NILIFIKIRIA KUMFANYIA SUPRISE, SIKUTARAJIA KUKUTANA NA TUKIO HILI"

Huko Nchini China kuna tukio gumu la mapenzi lililomtokea kijana mmoja anayeitwa Ken Wong

Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali inadai kuwa aliandaa kumsuprise mpenz wake katika siku yake ya kuzaliwa

Kwahiyo siku ilipowadia alinunua maua mazuri kisha akaenda kwenye ofisi aliyokuwa anafanyia kazi mpenzi wake lakini baadae akaona sehemu nzuri ya kumpsuprise kipendacho roho yake ni kwenye parking ya magari

Kwahiyo akaenda kwenye parking ya magari kwa lengo la kumsubiri laazizi wake

Lakini chakushangaza akiwa huko parking alimuona mpenzi wake akiwa amekumbatiana kimahaba na mwanaume mwengine😥😥😥😥😥

Alimpiga picha kisha akaandika kwenye akaunti yake

"LEO NI SIKU YA KUZALIWA KWA MPENZI WANGU, NILIFIKIRIA KUMFANYIA SUPRISE, SIKUTARAJIA KUKUTANA NA TUKIO HILI"

ingekuwa wewe ungefanyaje??
IMG_20200721_141027.jpg
 
MAPENZI YANAUMIZA SANA [emoji26][emoji26]

"LEO NI SIKU YA KUZALIWA KWA MPENZI WANGU, NILIFIKIRIA KUMFANYIA SUPRISE, SIKUTARAJIA KUKUTANA NA TUKIO HILI"

Huko Nchini China kuna tukio gumu la mapenzi lililomtokea kijana mmoja anayeitwa Ken Wong

Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali inadai kuwa aliandaa kumsuprise mpenz wake katika siku yake ya kuzaliwa

Kwahiyo siku ilipowadia alinunua maua mazuri kisha akaenda kwenye ofisi aliyokuwa anafanyia kazi mpenzi wake lakini baadae akaona sehemu nzuri ya kumpsuprise kipendacho roho yake ni kwenye parking ya magari

Kwahiyo akaenda kwenye parking ya magari kwa lengo la kumsubiri laazizi wake

Lakini chakushangaza akiwa huko parking alimuona mpenzi wake akiwa amekumbatiana kimahaba na mwanaume mwengine[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

Alimpiga picha kisha akaandika kwenye akaunti yake

"LEO NI SIKU YA KUZALIWA KWA MPENZI WANGU, NILIFIKIRIA KUMFANYIA SUPRISE, SIKUTARAJIA KUKUTANA NA TUKIO HILI"

ingekuwa wewe ungefanyaje??View attachment 1512763
Kama ni mimi ningeendelea na sapuraizi yangu bila tatizo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom