Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyo mzee dishi limeyumba
Wapambe wanajifariji tu. Katika Ukristo misaada hii ya kujitangaza ujulikane na watu kuwa umesaidia wala haina karama kivile mbele ya Mungu bali ni machukizo tu...Kama aleyeshindana naye amefanya vitu zaidi hivyo tena bila matangazo yoyote, je naye Mungu hatomjali na kumsikiliza?