moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Humu hatunaga siriUlishindwa kutunza siri😢😢😢
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ana rafiki yake wa karibu pia ni rafiki yangu wa karibu. Wote wana mawazo sawa. Yaani ukienda kwake siku nzima mtakaa mnaongelea Land Ceuiser yake jinsi ilivyo mtelezo, mara mashamba yake, mara nyumba yake...yaani ni fulu majivuno. Inaboa sana bro...
Kwa hasira alizonazo rambirambi zitamkoma [emoji16]Furaha ya kupata kura 6View attachment 1512644