Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mimi nipo hapa bro. Tena siku hizi nazunguka sana huko mitaani. Karibu tena bro na hongera sana kwa kumaliza chimbo salama [emoji1547][emoji1547][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Wapi bro SYB?
Hope atakuwa poa sana
Kumbe Anjela ameenda kujaribu jimboni!!?Same Magharibi
David Matayo= 389
Angela Kairuki=300
Wengine= 50
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji26][emoji26][emoji26]Bado nahangaika kujua umri wa Hanta [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwenye mafuta ni Moud tu aliniangusha ila ukweli unabaki pale pale...75 yrs and counting [emoji1545][emoji1545]
View attachment 1513204
1. Aliwanyima nafasi bodaboda wasifanye kazi zao kwa amani wakati serikali imeruhusu biashara hiyo
2. Aliingilia ndoa za watu wakati anajua kuna vyombo vya sheria.
3. Aliwakwaza wavuta sigara eti wanachafua jiji wakati serikali inategemea kodi ya bidhaa hiyo na jiji lenyewe pia ni chafu sana.
4.Usiku alikuwa anatembelea night klabu za katikati ya jiji na kiongea na wamiliki wake mambo yasiyojulikana.
5. Amelazimisha walimu wasafirishwe bure jijini Dar es salaam wakati wanalipwa mishahara, lakini watoto ambao hawana kipato wanasumbuliwa na madereva wa daladala ingawa wanalipa 200
Hakuwasaidia.
6. Alikuwa na mahusiano mabaya na wanasiasa wenzake kiasi kwamba aliingilia majukumu yao.
7. Alijiona yeye ndiye kiongozi wa juu wa wakuu wa mikoa yote, yaani alijaribu kupora majukumu ya Waziri wa Tamisemi.
>Hivi wasiojulikana ni akina nani?
Rejea kauli kuwa "Roma atapatikana kesho" na kweli kesho Roma alipatikana.
Orodha ni ndefu utanichosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We Mndali nawe vipi? Haya ndo maneno gani sasa? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha, [emoji23][emoji23]mi ndiyo kaka yenu wote nyie[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Wahenga tuje tukutane siku moja ili kukata mzizi wa fitina. Haki ya nani nyote humu mtanipa shikamoo [emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Unakumbuka hiyo, ati ana miaka 75, lakini alitumia Ray's akiwa primary wakati mafuta ni ya miaka ya 80 na 90.
Wakati huo watu tulishaanza maisha kitambo sana[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ujomba wa Magufuli umesaidia lo lote katika kushinda kwake kura za maoni au jamaa yuko vizuri?Huyu ndiye Mjomba wa Magufuli aliyeshinda Kura za Maoni Kawe. Yupo GCLA(maabara ya Taifa) yeye ndo incharge, pale hamna mtu wa kumpinga akisema hold mzee ni hold hamna wa kukupa release hata uende wapi, anaishi masaki kwa sasa. Hata cheo alichonacho ni figisu-figisu.
#Wasifu:
Jina: Furaha Dominic Jacob
Kazaliwa: Chato Geita
Shule: Chato Secondary School
Shule: Makongo High school
Chuo : DIT
Reseach: Technician at International Institute of Tropical Agriculture (IITA)
Na Kwa sasa anaishi Dar es salaam
Mtoto wa dada yake Rais MAGUFULI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua unajua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Roho mbaya umeanza lini? [emoji2]
Au sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heheh! Hivi haya maswali vipi au umekuwa muandishi siku hizi? [emoji16]
Vipi lakini hujambo?
Krismasi mwaka huu Mungu Akituweka hai tukutane Dar sehemu yo yote ile tuone nani atampa shikamoo nani. Wewe, Moud, Jirani, Yego??? na Esta fulu magome [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ngosha ze Don Shwaini zake.
Nilicheka sana ulivyo mkaba kwa ushahidi wa miaka ya matumizi,hata ingekuwa ni mafuta ya Shanti bado asingeendana na umri anaoung'ang'ania.
1 Aliwanyima nafasi kivipi?1. Aliwanyima nafasi bodaboda wasifanye kazi zao kwa amani wakati serikali imeruhusu biashara hiyo
2. Aliingilia ndoa za watu wakati anajua kuna vyombo vya sheria.
3. Aliwakwaza wavuta sigara eti wanachafua jiji wakati serikali inategemea kodi ya bidhaa hiyo na jiji lenyewe pia ni chafu sana.
4.Usiku alikuwa anatembelea night klabu za katikati ya jiji na kuongea na wamiliki wake mambo yasiyojulikana.
5. Amelazimisha walimu wasafirishwe bure jijini Dar es salaam wakati wanalipwa mishahara, lakini watoto ambao hawana kipato wanasumbuliwa na madereva wa daladala ingawa wanalipa 200
Hakuwasaidia.
6. Alikuwa na mahusiano mabaya na wanasiasa wenzake kiasi kwamba aliingilia majukumu yao.
7. Alijiona yeye ndiye kiongozi wa juu wa wakuu wa mikoa yote, yaani alijaribu kupora majukumu ya Waziri wa Tamisemi.
>Hivi wasiojulikana ni akina nani?
Rejea kauli kuwa "Roma atapatikana kesho" na kweli kesho Roma alipatikana.
Orodha ni ndefu utanichosha
Watu mnafukua.Huyu ndiye Mjomba wa Magufuli aliyeshinda Kura za Maoni Kawe. Yupo GCLA(maabara ya Taifa) yeye ndo incharge, pale hamna mtu wa kumpinga akisema hold mzee ni hold hamna wa kukupa release hata uende wapi, anaishi masaki kwa sasa. Hata cheo alichonacho ni figisu-figisu.
#Wasifu:
Jina: Furaha Dominic Jacob
Kazaliwa: Chato Geita
Shule: Chato Secondary School
Shule: Makongo High school
Chuo : DIT
Reseach: Technician at International Institute of Tropical Agriculture (IITA)
Na Kwa sasa anaishi Dar es salaam
Mtoto wa dada yake Rais MAGUFULI.
Sent using Jamii Forums mobile app