Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hatafua dafu mbele ya Mdee huyu. Atapigwa mchana kweupeeeWatu mnafukua.
Ila kuwa mtoto, dada, kaka au mjomba wa rais hakukuondolei utanzania wako.
Ameomba, amepewa.
Kazi kwao watu wa Kawe.
Kama hatoshi wamchinjilie mbali
Dahh shemeji [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Bado nahangaika kujua umri wa Hanta [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwenye mafuta ni Moud tu aliniangusha ila ukweli unabaki pale pale...75 yrs and counting [emoji1545][emoji1545]
View attachment 1513204
Huyu Musiba afadhali ameshindwa tu
Umeanza kujipandishia miaka tayari [emoji16][emoji16][emoji16]Dahh shemeji [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kiukweli nimemzidi umri si chini ya miaka minne,alitukuta darasa la nne na kipindi hicho hatukuwa na mtihani wa kuvuka la nne,hakupata kikwazo kuendelea.
Hongera sana kwa mapacha hawa.Kulwa na Doto hao...
View attachment 1513208
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ngosha ze Don Shwaini zake.
Nilicheka sana ulivyo mkaba kwa ushahidi wa miaka ya matumizi,hata ingekuwa ni mafuta ya Shanti bado asingeendana na umri anaoung'ang'ania.
Kama mimi nawatia wizara moja mmoja waziri mwingine naibu halafu nawachimba mkwara kuwa nataka hiyo wizara iwe bora kuliko zote ever !!!Hongera sana kwa mapacha hawa.
Itakuwa poa sana.Krismasi mwaka huu Mungu Akituweka hai tukutane Dar sehemu yo yote ile tuone nani atampa shikamoo nani. Wewe, Moud, Jirani, Yego??? na Esta fulu magome [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu naye aling'ang'ania kyela kama kiroboto.Mwakyembe alikuwa haamini kuwa mwenzake karundikiwa halafu yeye kiduchu [emoji1545]
View attachment 1513226
Sawa sawa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wahenga tuje tukutane siku moja ili kukata mzizi wa fitina. Haki ya nani nyote humu mtanipa shikamoo [emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kama umepita njia ya mkato Kitomondo kutokea ukuta wa jeshi na kuvuka barabara kwenda maeneo ya...hauna uhenga wa kututisha,miaka ya 80 eneo lote lile lilikuwa bwawa hakupitiki.
Bodaboda wakiingia mtaani wafukuzwa na tigo pamoja na vikampuni vya mfukoni vilivyopangwa kwenye mataa ya Tazara, Chang'ombe VETA,mataa ya Mwenge, mataa ya daraja la Salenda, mataa ya faya, mataa ya Uhasibu, mataa ya Kamata nk.1 Aliwanyima nafasi kivipi?
2 kwanini wanaume watelekeze watoto?
3 Kwani kuhusu sigara ni uwongo?
4 Ushahidi uko wapi wa kuongea mambo yasiyojulikana bar?
5 Kwani ni Jambo baya walimu kusafiri bure?
6 Aliingia majukumu ya wanasiasa kivipi?
Kwani ni wanasiasa wote wanapendana?
7Aliporaje majukumu ya tamisemi ? Kwani ni uongo kwamba yupo juu?
Unadhani Sababu ni ipi ya wao kufanyiwa hivyo?Bodaboda wakiingia mtaani wafukuzwa na tigo pamoja na vikampuni vya mfukoni vilivyopangwa kwenye mataa ya Tazara, Chang'ombe VETA,mataa ya Mwenge, mataa ya daraja la Salenda, mataa ya faya, mataa ya Uhasibu, mataa ya Kamata nk.
Ukikamatwa ni polisi, hutoki hapo mpaka upeleke laki 2.
Haya yalifanyika hadharani kama hakuwatuma lakini aliwahi kutoa amri pikipiki zishughulikiwe.