moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
4. Sina ushahidi.1 Aliwanyima nafasi kivipi?
2 kwanini wanaume watelekeze watoto?
3 Kwani kuhusu sigara ni uwongo?
4 Ushahidi uko wapi wa kuongea mambo yasiyojulikana bar?
5 Kwani ni Jambo baya walimu kusafiri bure?
6 Aliingia majukumu ya wanasiasa kivipi?
Kwani ni wanasiasa wote wanapendana?
7Aliporaje majukumu ya tamisemi ? Kwani ni uongo kwamba yupo juu?
Kama hauna ushahidi basi ni story kama stori nyingine za vijiweni.4. Sina ushahidi.
Usitake kuleta mambo ya mahakamani.
Ushahidi wewe ni hakimu
Juzi nimetoka Tandika narudi zangu home kupitia Buza, ile nakatisha kona pale kwa Lulenge nilimuona jini kisirani kivuruge anacheza ngoma, nikacheka sanaaa... Ile nakatiza Vingunguti pale darajani Kijana Mpole huyu hapa na biashara yake ya supu [emoji1][emoji1][emoji1]
2. Kutelekezwa kunategemea mambo mengi.1 Aliwanyima nafasi kivipi?
2 kwanini wanaume watelekeze watoto?
3 Kwani kuhusu sigara ni uwongo?
4 Ushahidi uko wapi wa kuongea mambo yasiyojulikana bar?
5 Kwani ni Jambo baya walimu kusafiri bure?
6 Aliingia majukumu ya wanasiasa kivipi?
Kwani ni wanasiasa wote wanapendana?
7Aliporaje majukumu ya tamisemi ? Kwani ni uongo kwamba yupo juu?
Ngoma bado mbichi hapo
Hayo ni malipo ya uzinzi.2. Kutelekezwa kunategemea mambo mengi.
Mwanamke anakupa mimba kwakuwa ulimgonga siku moja, lakini baada kukubali mimba hiyo anakuja kukuambia mimba hii siyo yako.
Hii ni mimba ya mzee wa Kyela, unajiweka pembeni, kesho akisikia shimo lako linatema madini anakuja na stori ati "huyu ni mwanao kabisa".
Haya mambo hayahitaji nguvu kuyaamua.
Vinginevyo yapelelkwe kwenye vyombo vya sheria
Siasa za CCM hazihitaji mbwembwe, ni kuusoma mchezo.Kutoka Katibu Mkuu wa chama kikuu cha upinzani mpaka kupata kura 2 dah !!!
View attachment 1513223
[emoji26][emoji26][emoji26]Bashite soma hiyoooo !!!
View attachment 1513225
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza kujipandishia miaka tayari [emoji16][emoji16][emoji16]
Nina wasiwasi na Kivuruge. Alikuwa mbele kabisa katika uwanja wa mapambano. Natumaini hajambo. Kijana mpole naye sijui kakwama wapi.Juzi nimetoka Tandika narudi zangu home kupitia Buza, ile nakatisha kona pale kwa Lulenge nilimuona jini kisirani kivuruge anacheza ngoma, nikacheka sanaaa... Ile nakatiza Vingunguti pale darajani Kijana Mpole huyu hapa na biashara yake ya supu [emoji1][emoji1][emoji1]
Hawa vijana wawili nimewaona kwa masikio yangu kabisaaa
Naona anavyoziangalia kwa makini, anatamani azidokoe ajazie kwake [emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]Mwakyembe alikuwa haamini kuwa mwenzake karundikiwa halafu yeye kiduchu [emoji1545]
View attachment 1513226
Duh!! Mashinji masikini....
Ni kweli kabisaKama mimi nawatia wizara moja mmoja waziri mwingine naibu halafu nawachimba mkwara kuwa nataka hiyo wizara iwe bora kuliko zote ever !!!
Mwaka 1975 Masters ila rays (1986) ulipaka ukiwa unaenda shule [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kitomondo alikuwako Halima halafu dah. Pini kali hatari kutoka Mombo Tanga. Miaka 45 iliyopita...Masters kidogo inishinde aisee. Those good ole days [emoji16][emoji16][emoji16]