Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji818][emoji818]
 
Mimi nipo hapa bro. Tena siku hizi nazunguka sana huko mitaani. Karibu tena bro na hongera sana kwa kumaliza chimbo salama [emoji1547][emoji1547][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nashukuru Mungu kwakweli, sasa tupo pamoja tena.....

Nimekuona kwenye mtaa mmoja huko kwenye mambo ya Chui bro πŸ˜€
 
Km ni miaka ya 80 basi na mm nilikuwepo.
80-89 nachezea humo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kama umepita njia ya mkato Kitomondo kutokea ukuta wa jeshi na kuvuka barabara kwenda maeneo ya...hauna uhenga wa kututisha,miaka ya 80 eneo lote lile lilikuwa bwawa hakupitiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…