Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Boss huko nyuma nilikulia maisha ya milo miwili, uji, vyombo vyote vinanuka dagaa... yani siku ya ubwabwa watoto wote tunaoga saa 12. Kuna siku inapita tunagonga mlo m1.
Huko tumetoka na hatutaki kurudi maana si sehemu salama aisee. Na tunapambana daily ili tuishi vzr zaidi maisha mafupi boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…