Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwakuwa sheria kama hiyo haipo Tanzania tuwaache huru wenyewe wapambane na hali zaoNdugu; California kule nasikia zimetungwa sheria zinazokataza kuvuta sigara hata ukiwa peke yako nyumbani kwako mwenyewe. Lengo ni kuokoa mapafu ya mvutaji [emoji16][emoji16][emoji16]
Huku shamba Mambo shwariHongera wakulima wote.....bila ninyi hatuendi mbele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Poleni sana mliokosa kura...ni kwamba kura hazikutosha tu, miaka mitano sio mingi[emoji23]
Dah huyu mzee Jamani [emoji134]Kura moja tu itabadirisha hatma ya Aggrey Mwanri kisiasaView attachment 1513808
Ni wa kwake huyu hajabambikiwa [emoji16][emoji16][emoji16]Baba na mwananaView attachment 1513820
Ningependa kweli huyu mzee angeenda bungeni. Pangechangamka kweli....Kura moja tu itabadirisha hatma ya Aggrey Mwanri kisiasaView attachment 1513808
Anayekubalika na system ndiye jina lake litarudi ....Erick Shigongo na Charles Tizeba ngoma bado mbichi Buchosa.
Kila mmoja amepata kura 354View attachment 1513834