Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400018600949_277086.jpg
 
Kim Ung-Yong alikuwa na uwezo wa kuongea lugha 4 akiwa na miaka 2. Uwezo wa kufanya hesabu za Aljebra kwa usahihi akiwa na miaka 3. Alialikwa Chuoni kama mwanafunzi anaesomea masuala ya Fizikia akiwa na miaka 4. Alialikwa na NASA akiwa na miaka 7. Alipata PHD akiwa na miaka 15.
 
Back
Top Bottom