Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1595424839596.jpg
 
Mwaka 1988 binti aliyefahamika kwa jina la "Piia Ristikankare" kutoka nchini Finland alikuwa nyumbani akitazama Televisheni. Ugomvi ulitokea kati ya ndugu zake hapo hapo nyumbani, yeye aliamua kutoka nje. Baada ya hapo hajawahi kuonekana mpaka leo.
 
Back
Top Bottom