Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Labda kuna nguvu furani itansaidiaHuyu dogo kweli ndo atamshinda Mdee huyu kweli?
View attachment 1513849
Tafiti zimeanza kuchangamka sasa [emoji870][emoji870][emoji870]Chura Dume ndiyo hupiga kelele (Sauti) mara kwa mara hususani usiku. Lengo kuu la kelele hizo ni kuvutia majike. Jike akisikia sauti hizo huchagua sauti ipi ya dume katika Jamii yake ambayo ina mvuto zaidi kisha humfuata dume huyo.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Tafiti zimeanza kuchangamka sasa [emoji870][emoji870][emoji870]